Dr Lizzy
Platinum Member
- May 25, 2009
- 31,010
- 60,472
Nipo lakini kama 💤 🛏 vinaniita hivi 😏Dr upoo?
Mzigo unapanda hapa sasa hivi
Kaa mkao wa kula
Nipo lakini kama 💤 🛏 vinaniita hivi 😏Dr upoo?
Mzigo unapanda hapa sasa hivi
Kaa mkao wa kula
Nimesema FURAHA NI KUNYWA NA MARAFIKI!!! 🤓Hii Sasa
Ndio matatizo
Mbona unanidhalilisha
Kwani ndio umesemaje![]()
Ahahaha hapa thiweziUza simu upate hela.
Uzuri unatembea na mtaji.
Downgrade hapo chap, upate mpunga
Naomba hiyo mia 2 nkanunue pipi kali
Kwani ukitumia X max kuna ubaya? 😂😂Ahahaha hapa thiwezi
Kabitja
Unanitia aibu pisi kaliNaomba hiyo mia 2 nkanunue pipi kali
Ingiza vocha usichungulie vingineNaomba hiyo mia 2 nkanunue pipi kali
Aibu ya nini? Na pipi kali inauzwa sh 50!?Unanitia aibu pisi kali
ndio nakaa upande huo, mtaa unaitwa lemara, karibukaribu na braeburn international....Yes.
Wana choma amazing 🥰
Situmii airtelIngiza vocha usichungulie vingine
Hakuna ubaaya ila picha yake sio quality kama hiiiKwani ukitumia X max kuna ubaya? 😂😂
Mimi nimechoka vocha za kugombania thiwezi kila thaa nakosa kuna watu wapi active thanaIngiza vocha usichungulie vingine
Kichwa kimeshawaka saivi hata sioni vizuri
Ile njia nasikia mvua ikifululiza mnatoka nje na rain butindio nakaa upande huo, mtaa unaitwa lemara, karibukaribu na braeburn international....
Chips mayai na pombe? Mko serious nyie?Kichwa kimeshawaka saivi hata sioni vizuri
Nitumie inbox niiweke kesho nikiamka View attachment 2612578
Yeeeey!!! 🤗