ThibitishaMuongo
Discount 91% nichukue hiyo ofa[emoji4]Nikupikie tena???[emoji849]
Nikajua unataka kujifunza [emoji1638][emoji502]
Nikiselfika utanipa vocha?Mwambie aselfike
Ushindwee [emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2612296
NdiyoooNikiselfika utanipa vocha?
Washa WiFi sasa ππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] cio poa aisee nipunguzie jero tu utadumu kwenye mahusiano mpka mwisho wa dunia hamuachani
Mema ya nchi au anywe bia?πAtulie ale mema ya nchi
Biashara si itakufa niuze mpaka vyombo.....?ππDiscount 91% nichukue hiyo ofa[emoji4]
Nipo peke yangu JF nzima hakuna kama mimiπHamna kijana mwema kama huyo, mshikilie vema π€
Ukweli shem darlingπMuongo
Kwani we ni Mzazibar???π³Nipo peke yangu JF nzima hakuna kama mimiπ
Hiyo aina ya simu ukiweka bando la mia 5 si sekunde 20 limeishaView attachment 2612322
Tayari [emoji41][emoji41]
Ebu weka citation ya huo utafiti!Ungefanyia utafiti humu jf ungegundua kijana mwema ni mimi tu.Kwani we ni Mzazibar???π³
Maana utafiti umedhihirisha hawana ubabaishaji.π€
Siju kma natwaiUkiwahi nitunzie basi na mimi
Kijana Johnnie Walker una hela?π Lenie afro ndogo kipaji. Hizi zilikuwa fupi basi pple around me wakawa wanahoji kimenipata nn View attachment 2612342
Kumbe wewe ni kazuriπ Lenie afro ndogo kipaji. Hizi zilikuwa fupi basi pple around me wakawa wanahoji kimenipata nn View attachment 2612342