mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,809
Kweli mzee wangu humu mtaani nawaona wengi, wako peace sana wananiambia tu nikipata hela nieatafute....Kibunda acha tukitafute aiseeh!
πππ na wengine tayari wamekurahisishia kazi sura zao hawajazificha sana na viua π€Ndio napasua kichwa hapa π
Waaache wazibe tu mara macho mara sikio na viua ua vyao naunganisha tu pics nitawaletea sura nzima mda si mrefu π
Boss mwenyewe naona anataka akagongee misosi kwa Dr Lizzy kweli atamlisha mbwa ashibe?π€Hahaaha kuliko boss wake
Kama Depal ya kwake bado 5% ikamilike maana yeye anaziba macho tu ππππ na wengine tayari wamekurahisishia kazi sura zao hawajazificha sana na viua π€
Ahahah ahahah ndio kwashemej raha sanaDogo unapiga picha nyumba ya shemeji yako[emoji23]
Nikupikie tena???πNipikie tu Dr
Ahahaha watashiba kwa chakula cha jiraniBoss mwenyewe naona anataka akagongee misosi kwa Dr Lizzy kweli atamlisha mbwa ashibe?π€
Bantu Lady yuko ule uzi wa warembo wakali duniani anatupostia warembo bandika bandua ila shida hatoi connection π’Namsalimia Bantu Lady,kama hayupo mpeni salamu zangu
Lete nyingine kwanza πππ kausha
namsubiri hapa hapaBantu Lady yuko ule uzi wa warembo wakali duniani anatupostia warembo bandika bandua ila shida hatoi connection π’
Atakuja tumhoji vizuri na atublesi maana kitambo sasanamsubiri hapa hapa
Kula maisha kijana[emoji23] vya bure vitamu sana....Ahahah ahahah ndio kwashemej raha sana
Unajua kuna haki za wanyama nitakushtaki nipige hela πAhahaha watashiba kwa chakula cha jirani
Sili vyabure nakula vya shemeji na dada yanguKula maisha kijana[emoji23] vya bure vitamu sana....
vzr, ila mie nataka aniblesi yeye,hahahaAtakuja tumhoji vizuri na atublesi maana kitambo sasa
Daah! Wewe jamaa utainjoi sana hahaavzr, ila mie nataka aniblesi yeye,hahaha
Ujege na huku uwe unaosha macho na kuchukua vizungu zungu πWe mtoto unanifanya nisikie kizunguzungu
πππππ
πππππππ