mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,810
gender issues are very very complicated πUbishi au ukweli, tatizo watu hawataki kuambiwa ukweli, wanataka tukubali tu kila kitu
Ni wachache mkuu wala usitudanganye hapa maana hali halisi tunaijua, siku mkiacha malalamiko ndio tutajua kweli hizo hela za kuhonga mnazo, vinginevyo huwa mnaumia sanaIla wengi wetu huwa tayari tumeweka bajeti kwa hiyo tunachoonga kiko ndani ya bajeti hivyo akina siye haituumizi lengo likiwa limetimia
Ataniua VW tena πJivute vute hata VW nakuwa chawa wako.. si eti Dr Lizzy
Naona pisi kali kwenye kioo hapo πOn air TBC View attachment 2610765
Vizinga vinauma kama hakupei kwa wakati au shoo mbovu πNi wachache mkuu wala usitudanganye hapa maana hali halisi tunaijua, siku mkiacha malalamiko ndio tutajua kweli hizo hela za kuhonga mnazo, vinginevyo huwa mnaumia sana
Hilo harage limeungwa na nazi nini? π
chai ya nini usiku huu?utajikojolea kitandaniπ
Yeah! Bila π₯₯ hayanogi.Hilo harage limeungwa na nazi nini? π
Nimemiss sana huo msosi ndondo la nazi na chapati hasa ikiwa dinnerYeah! Bila π₯₯ hayanogi.
π€£π€£π€£π€£chai ya nini usiku huu?utajikojolea kitandaniπ
Basi kula kesho ili hamu iishe.πNimemiss sana huo msosi ndondo la nazi na chapati hasa ikiwa dinner
Haiwezekani friday hii unaingiza kokopo mapema hiviπ€π€£π€£π€£π€£
π΅ is to Dr Lizzy , what π₯ is to Jack Palladino π
Ila bora umenikumbusha niingize kakopo kangu ndani.π
Siunajua tena sie wanywa chai....ratiba zetu ni tofauti na zenu.ππHaiwezekani friday hii unaingiza kokopo mapema hiviπ€
Hapana kuna mtu majukumu yake yamemshindaπSiunajua tena sie wanywa chai....ratiba zetu ni tofauti na zenu.ππ
πππHapana kuna mtu majukumu yake yamemshindaπ
How?π€πππ
Usimlaumu bure, bado hajajua nilipo.πΆβπ«οΈ
Nimejificha kidogo π€How?π€
UtaniPM location nije chap!Nimejificha kidogo π€