Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwa hiyo mnafanya hivyo kuwakomoa wadau wa hit and run?
Si ndio, maana mki hit and run baadaye wakifikisha miaka 30+ hawajaolewa, mnaanza kuwatukana na kusema kuwa wametumika sana

Mara sijui naniliu zina mileage kubwa hivyo hawafai kuolewa kwahiyo nao wanatafuta cha kupoozea machungu ya hayo matusi yenu

Kusudi hata huko mbeleni mkija kuwatukana angalau kuna kitu waliambulia ninyi mmewapotezea muda na wao wamewapotezea pesa
 
Duh


Kule juu umetoa mapweint

Hapa sasa ndio umefunguka kinoma

Kumbe unaongea eeh
 
Tit for tat...lakini hapo anayeumia zaidi ni mwanamke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…