Selfika na JF: Snap it. Show it


Kweli Serikali imeupiga mwingi, kutoka kutoa umiliki wa miaka 99 ya ardhi hadi kuwa miaka 33πŸ€”

Yaani ile watoto na ndugu wakigombea urithi kwa kupelekana Mahakamani, ghafla unakuta mmiliki ameshageuka kutoka kwa Marehemu kuwa ni Serikali πŸ™†β€β™€οΈπŸ™Œ

Hello Thursday πŸ‘‹
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…