Kwa kweli mwili unabadilika kabisa ila ukiwa na nia kinaisha kipenzi nilianza mazoezi dada yangu yeye kwa sasa yuko vizuri kitambi kimeisha mimi mazoezi yalinishinda ya kutoa kitambi.
Kuna mtu aliweza, yaani muda huu ndiyo anakula chakula cha usiku. Aliacha kula dinner sijui kuanzia saa 2 usiku na kuendelea. Kama unaweza hili hadi mwili unapungua.