Selfika na JF: Snap it. Show it

Kunamtu nilikuwa naongea sikujua km shabiki wa Yanga ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€nikasema wafungwe wee nimekatwa jicho nikawaombea washinde tu bila kupenda ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
kila la heri watani mshinde tu otherwise tuwacheke
 
Kunamtu nilikuwa naongea sikujua km shabiki wa Yanga [emoji3][emoji3][emoji3]nikasema wafungwe wee nimekatwa jicho nikawaombea washinde tu bila kupenda [emoji23][emoji23]
Sasa wee unaogopaa nn? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo anaekuweka mjini?? Uwiiiiih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ