Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
Big Boss angalia kimvuli leo π€£π€£π€£π€£π€£Umekata sana mbantu wetu
AuwiiiiiiiiiiioπππππWeee mwanamke uliumbwa siku gani kwaniii??? Sio kwa uzuriii huooo shepuuu shepuuu rangi rangiii mtrotro mashallah auweeeeππ Kapachino unapitwaaaaSiku moja moja muwe mnaangalia kimvuli kama hivi... weekend njema nitarudi Yanga ikishinda π€View attachment 2604804
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwa nyota ipi ya kuambiwa nipeleke CV??Ndiyo uanze kujifunza kuzurura weekend moja moja, siku ukiambiwa upeleke CV hapo Mikocheni itakulazimu uombe msaada wa Boda boda kuulizia [emoji12]
Takbirrrrr cc sumbaiSiku moja moja muwe mnaangalia kimvuli kama hivi... weekend njema nitarudi Yanga ikishinda π€View attachment 2604804
Ngoja nitafutee pesaa dear, ili baadae tuenjoy life. [emoji8][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]Tutafute pesa kwanza , raha sana kuwa na uhakika wa pesa .
Ila Tonnia Tonnia hujioni eeeh? Vioo huko vinagiza eti ππππAuwiiiiiiiiiiioπππππWeee mwanamke uliumbwa siku gani kwaniii??? Sio kwa uzuriii huooo shepuuu shepuuu rangi rangiii mtrotro mashallah auweeeeππ Kapachino unapitwaaaa
Kuna waoajii?? Wotee ni kataa ndoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chagua nyama moja ya kuinjoi nayo wakati unamtunzia Muoaji, hatutaki fedhea ya kurudishiwa mahari kwamba yaliyomo hayamo[emoji2089][emoji2089]
Watu wamekula hadi mifupa kama fisi [emoji85]
So beautiful ππβοΈ!
Umeona eeehhh... Anashika 1 2 3 zotee wengine wakasomeeeeh π£οΈπ£οΈπ!Hahaha nipo live mnyama mkali hili toto zuri
Jf nzima
Nasemajeeeeeer 1 2 3 zotre unakamatiaaaa mwingine hakunaaaaπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈπ£οΈπIla Tonnia Tonnia hujioni eeeh? Vioo huko vinagiza eti ππππ
Asante kipenzi πππ
HahahaHii kazi ngoja tumpe National Anthem pamoja na Kapachino , wengine umri umetutupa mkono π
Mara ya mwisho nilipeleka mapendekezo ya Katiba Mpya kwa Madam President, tuliweka kipengele kuwa kwenye Kila matangazo ya Ajira Mpya ni lazima muombaji akiri kuwa akipata ajira ni lazima Aoe.Kuna waoajii?? Wotee ni kataa ndoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nyamaa yoyote ikinipenda na mie nikiipenda naikubalii naenjoy nayooo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hilo toto Ni lizuri!; MnywaniUmeona eeehhh... Anashika 1 2 3 zotee wengine wakasomeeeeh π£οΈπ£οΈπ!
Mbantu ni noumaaa nanusuuuu πππ!Hilo toto Ni lizuri!; Mnywani
Apa nimeshalipicture tiyari
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haina haja ya kuoa, ikiwa uzinzi unafanyaa, ndo mwanzo wa Ajari zisizo na msingi, kukimbia fumanizi.Mara ya mwisho nilipeleka mapendekezo ya Katiba Mpya kwa Madam President, tuliweka kipengele kuwa kwenye Kila matangazo ya Ajira Mpya ni lazima muombaji akiri kuwa akipata ajira ni lazima Aoe.
Kuweni na amani mabinti, kila Mwanamke ataolewa kwa Mujibu wa Katiba Pendekezwa [emoji847][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Wow toto zuri Firdaus9 rangi ya Mtume π₯π₯π₯π₯π₯ππππππ