Boss umemuiba mke wa [mention]Ntiluseswa [/mention]
Boss [mention]Mjep [/mention] una pepo yako ya kipekee
Tafadhari Boss [mention]Mjep [/mention] usije niibia demu wangu ndyo ninaye huyo huyo tu
Utaua watu nakwambia wewe mtu
Siku hizi natukanwa kweli kwenye majukwaa huko sababu yako naitwa majina magumu kweli
Ila acha wateseke shauri yaoπππ