Humu ndani unaweza jikuta mnaishi mtaa mmoja na mtu . Kwa mfano mie ni majirani wawili humu , tunaishi karibu sana . Huku kwema babu , shikamoo habari yako ?Huwa inakuwa kuwaje mpaka mtu unaitwa jirani wa mtu humu?
Kwema mjukuu?
Hili jibu lako hili.Humu ndani unaweza jikuta mnaishi mtaa mmoja na mtu . Kwa mfano mie ni majirani wawili humu , tunaishi karibu sana . Huku kwema babu , shikamoo habari yako ?
Kwenu ndo kizuri nyie watu na nusu mna upendo mno
[emoji3][emoji3]Akipita atanuna balaa
Hakika babu , tupo kwenye virtual world lakini tupo karibu na hatujui . Asante sana uwe na sabato njema pia hukoHili jibu lako hili.
Lina ujumbe mzito sana.
Marahaba. kwema mjukuu.
Happy Sabbath
😀
chiefLi mshangazi
La ukweli na uhakika
Wanadai wamekufa kiume 😂😂😂😂Wana thimbaaaaaaaaa nawasalimu in the name of Mamaa la mama Hellllooooowww ✋✋✋✋!🤭
nakusalimiaWanadai wamekufa kiume 😂😂😂😂
Akina Kapachino kiduku mpapaso sijawasikia kabisaaa 🤣🤣🤣!Wanadai wamekufa kiume 😂😂😂😂
Akina Kapachino kiduku mpapaso sijawasikia kabisaaa 🤣🤣🤣!Wanadai wamekufa kiume 😂😂😂😂
Asante sana mtu chake nimepokea salamu kwa mikono miwili 🤝 kwema huko.nakusalimia
kwema kabisa,nami nafurahi kukuona,ukifurahi ,Bantu LadyAsante sana mtu chake nimepokea salamu kwa mikono miwili 🤝 kwema huko.
nini kimetokea?
Mnyama kaliwaaa kichwaaa😂😂🤣nini kimetokea?
Huku kwa wanaume uto hampawezi nyie bakini huko kwa looser
🤣🤣🤣🤣🤣!Huku kwa wanaume uto hampawezi nyie bakini huko kwa looser
Yaani tunatamba unafikiri Yanga huku mngepaweza maana waarabu weusi tu wamewapiga nje ndani sasa ndio mngekutana na hawa waarabu wanaovuta hewa ya ulaya si mngefungwa goli kumi nyie🤣🤣🤣🤣🤣!
Kama nawaonaaaaaa Ussshuuuunguuuuuu 😭 🤣!!
nani katenda ?waarabu au ?Mnyama kaliwaaa kichwaaa😂😂🤣