Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 21,769
- 54,903
Hapo mdudu anateleza kwa koo kiutamu utamu aiseeMdudu mtamu sanaa mzee pembeni ka coke na grand malta
Hapa nashushia kahawaa kamoja kanaitwa Irish coffee 🤭🤭 badae huyo na nyonga mkalia ini To yeyeHapo mdudu anateleza kwa koo kiutamu utamu aisee
Itabd watupe mwaliko tukajing'ate mkuu[emoji4]
Mdudu anapendeza na kitu kikali,Mdudu mtamu sanaa mzee pembeni ka coke na grand malta
Nina jipya basii sina hata..Afu nina muda kidogo sijapiga picha eti!!Namsubir, nawe tupia bas kdg[emoji4]
Shukrani
dompo ina asilimia 16 , hiyo ukinywa hulewi ?Napenda sn wine Moja inaitwa Serengeti
Changamoto yake Ina alcohol ndogo sana,
Hivyo huwa naimix na k-vant au smart gin ili kupata vibe flan hv amaizing sana[emoji4]
Dompo kavu Silewi kabsadompo ina asilimia 16 , hiyo ukinywa hulewi ?
Mzee wa kupambania kasema siku Moja utupikie[emoji4]Shukrani
Wadada tunaopenda kula [emoji23][emoji23]
Leo picha hata mguu TU nikuone[emoji4]Nina jipya basii sina hata..Afu nina muda kidogo sijapiga picha eti!!
Zimefika bossMsalimie huyo wa shati la drafti.
Usijareee kabisa brod akeee wewe treinaaahhhh...turia hapohapoooo.. ( Kwa sauti ya Bantu LadyLeo picha hata mguu TU nikuone[emoji4]
Nakuaminia[emoji4]Usijareee kabisa brod akeee wewe treinaaahhhh...turia hapohapoooo.. ( Kwa sauti ya Bantu Lady
Jihadhari sn na kitambi,Shukrani
Wadada tunaopenda kula [emoji23][emoji23]
😀😀Kwakweli ngoja tupunguze kidogoJihadhari sn na kitambi,
Kinatabia ya kuificha nyam nyam[emoji39]
😀Muulize kwanza vizuri anatak chakula kweli 🚶Mzee wa kupambania kasema siku Moja utupikie[emoji4]
Imetulia Sana,nmefurah mno[emoji4]
dompo kali sana , bora hizi napenda robertson na lion's hill .Dompo kavu Silewi kabsa
labda ziwe kuanzia 2 na kuendelea
mamaJ ndo akinywa nusu TU
Tayr ataanza kuongea kijerumani na kuskia joto[emoji1]