hahaha wakunificha zaidi yako hayupo ati! Mvua za dar ziliondoka na simu yangu.
Bantu Lady anaendaleaje pia? Mwambie chino na miss Sana. Na nina ujumbe wake toka kwa drogba wa bongo
Ni miss ona Sana mambo yake cowbell mbantu!! Hili linalo mkalizame uko!! Akirudi baadae Bantu Lady alitolee tamko Kama vipi irudiwe.Nafurahi kusikia hivoo mnywani Bantu Lady ako vyedi sana mnyamaa nae anakuulizia kila leooo hakuoni humuu!!! Hakika leo akikuona atafurahi sana!! Hauna ka selfii hapo uniblessipo mnywanii !
Ni miss ona Sana mambo yake cowbell mbantu!! Hili linalo mkalizame uko!! Akirudi baadae Bantu Lady alitolee tamko Kama vipi irudiwe.
Mida yetu ile ya jioni jioni selfie Kama zote nikiwa live kabisa na bambia kwenye sikukuu ya idd; hata usijali kabisa mnywani.
Ewaaaa! Mkalitazame vizuri na mbantu!!Haina nomaa mnywanii tunasubiria jionii!!!
Hilo mbantu atalitolea tamko Usijareee kabesaaa!
😂😂😂😁!!Ewaaaa! Mkalitazame vizuri na mbantu!!
Tokea ajue macho ya chino yanapenda tazama nini! Sikuhizi ndo kabisa anaikwepesha! Anajua kunitesa Sana huyu mchuchu.
Eti na felli wapi Bantu Lady!! Mbona sikuhizi na pishana na mambo mazuri!au ndo mambo ya nyota ya punda.😂😂😂😁!!
Wee juzi na jana Mbantu alitublesss yale mamboo yakoooo ulipitwajee na vitu vizureee😊!
waleko msalamu Mkuu
Akija anaeza akatupia tenaa au mpaka yanga icheze na ishinde tenaaa ngoja tuone 😊!Eti na felli wapi Bantu Lady!! Mbona sikuhizi na pishana na mambo mazuri!au ndo mambo ya nyota ya punda.
😄kuna mtu namvizia tashusha Cv😅Jikubali mkuu kwani kitambi kinauma
Nipoo mbona itakua kweli tunapishana!!waleko msalamu Mkuu
Tunapishana sanaa Mkuu😀
😊😊😂😂😂!😄kuna mtu namvizia tashusha Cv😅
itakuwa vizuri zaidi Kama atatema! Leo nipo active sanaAkija anaeza akatupia tenaa au mpaka yanga icheze na ishinde tenaaa ngoja tuone 😊!
Ngoja tumsubirie akuje!!itakuwa vizuri zaidi Kama atatema! Leo nipo active sana
Bado zingine nakusubiri uje uzitoeMjomba In the line 1 and 2!!
Umependeza na ulivonyoa umekua handsome zaidi😍!
🤭🤭🤭mjini mna maisha mazuri sana na watu wazuri kama kina Bantu Lady wote mnao nyie
Jana ulipost
Sema kweli kuona kina mbantu kadhaa wakitembea barabarani! Ni fahari tosha.🤭🤭🤭mjini mna maisha mazuri sana na watu wazuri kama kina Bantu Lady wote mnao nyie
Dr acha kabisa… natangaza ndoa soonJana ulipost
Kitu moja matata sana
Kaka unakula mema tu
Huko location