Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Asante ila sura Baba J umetuzibia sana, umeweza kupumua kweli? Ila umeshazoea kufunikwa katikati ya.... [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Mi naomba utupie uliyosimama au kukaa nione mwili mzima,Na mm ntatuma passport size yeye sura yangu kabisa[emoji4]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Bantu rede usituangusheee😁😁😂😂

Do the needful kwa kakaakee pullliiizzzzzzzzzzzzzzz 😂

Nasubiria gushepuu na passport ya kakaa hapaaa🙇🙇😁
 
Nyie 😄😄😄😄🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻 ila Inspire You mbona kama mwenyeji 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
 
Utani wa ngumi huu kaka [emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]!!
Serious, wanawake wanaojipenda sana utawaona TU kuanzia usoni[emoji4]

Imagine Kama kile kisura Cha Kalpana kilivo smooth kinang'aa utadhn kimefanyiwa waxing

Wee unadhan uko chini patakuaje ukzingatia mwanamke mwnyw yule rangi ya chocolate jotoridi sentigredi buku[emoji1]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Serious, wanawake wanaojipenda sana utawaona TU kuanzia usoni[emoji4]

Imagine Kama kile kisura Cha Kalpana kilivo smooth kinang'aa utadhn kimefanyiwa waxing

Wee unadhan uko chini patakuaje ukzingatia mwanamke mwnyw yule rangi ya chocolate jotoridi sentigredi buku[emoji1]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

Kabisa Uko vizureeee kakalakee Ndiomanaaa mama J atajifaraguaaa weee hakuachiii ng'o😊!!!! Kumbe na kwenye usafi pia umooo weeuuwweeh!! Inapendeza sana
 
😂😂😂 Niko jf kama 10yrs now, ila kama guest member. Nimeona napitwa sana ndio nikajiunga this year.

Kwa id kweli mgeni ila kwa matukio ya humu kitambo sana. 😂😂View attachment 2598342
Nimejua tu u mwenyeji 😄😄😄😄 ila lazima kuna ka ID kapo kametulia...
Karibu sana Selfika... endelea kutubless kama hivi, na sura pia hata ukificha kidogo 🤗🤗🤗🤗
 
Back
Top Bottom