π π π kuna uzi nilikaribisha mkuu japo sikumbuki ilikuwa mada gani π
Dah! Sio kweli bhanakuna uzi nilikaribisha mkuu japo sikumbuki ilikuwa mada gani
Tupia yako kwanza tena picha yako inahitajika maana una harakati JF si kidogo na nyuzi zakoππ π πDah! Sijawai bahatika kuiona picha ako ata moja humu selfika Antonnia
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Zangu mbona zimo nying Sana humuTupia yako kwanza tena picha yako inahitajika maana una harakati JF si kidogo na nyuzi zako
Weee kakalakee sema umenisahau kwakua nimebadili username tyuuuu mbona tunachatigi na kutupia sana tyuu humuu hata mama Selfii ya J unatublessigi sana mbona πππ!Dah! Sijawai bahatika kuiona picha ako ata moja humu selfika Antonnia
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kweli mkuu ila sio mbaya Eid ijayo inshallah.
Tupia sasa hivi nikuletee pilau uko ulipoπ€¨
Duh! KumbeWeee kakalakee sema umenisahau kwakua nimebadili username tyuuuu mbona tunachatigi na kutupia sana tyuu humuu hata mama Selfii ya J unatublessigi sana mbona!
Niliona unanitag sehemu kwa username yangu ya zamani!
π€£π€£π€£π€£π€£
Ntashkuru Sana,Kweli mkuu ila sio mbaya Eid ijayo inshallah.
Ebanaaeeeh
.
Mie Mahondaw bro akee !!
Niliacha Kitrambo sana mbona inaelekea mwaka sasa haha!! Sijaiona itume tena Pm ya Antonniaπ! !Ebanaaeeeh
Ile I'd umetelekeza au vp?
Kuna pm nilikutumia haikujibiwa
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sawaa mkuuNimeirudiaa sana mbona mkuu nawe fanya kutubless basiii
Haya naisubiriaa selfii Yako hapaa mkuuπ!Sawaa mkuu
Akhsaaannteeeeehhh πππ Nuzulati Bantu Lady cocastic mnapitwa na Bongesa la mselfieee wa Baba J Alooooooohh vidole hivoo mikono hio misulii kakaahπ€!!
Hii picha naomba ni I like mara 100π€¨