Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimesoma komenti ya Bantu Lady ya kutuna kwa Zipu ikabidi nirudi kuzoom maeneo auweeeeehhh [emoji848][emoji23][emoji23]!
Sio kwa huo urefu wa zipu inapoanzia mpaka inapoishia kakaa nuksee sana weyeeee[emoji119][emoji1787][emoji23]!!
Duh!
Sio kwa ukodoaji huo wa macho

Itabd ukaajiriwe muhimbili kitengo Cha tohara ukawe msoma x-ray za vinanihii vya watu[emoji38]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom