Yanga Oyeeeeeeee leo mji uko kimyaaaaaa. Mayele kajua kuwanyamazisha upande wa pili. Walijua kaisha, akasema ngoja niwaonyeshe kazi peke yangu
Tayukwa unaitwa huku na mtoto mzuri Tonnia πππ asante mrembo wangu, tusheherekee Yanga na Mayele ππ