Apo vepe [emoji23][emoji7][emoji23]View attachment 1269785
Hili ndio chimbo lako Eli😊😊.Nashukuru kuna visu nimefanikiwa kuviona, leo sijachelewa sana. Sasa naenda kanisani [emoji39]
😆😆😆alitutesa sana huyu jamaa[emoji41][emoji41]Kwanini mlimuua Samson mkuu??
Mambo ya casual ayo [emoji23]Aiseeee nmekukubali hyo kiatu nmeielewa mnooo
Toooba!!
[emoji38][emoji38][emoji38]alitutesa sana huyu jamaa
Hahaha, Paula kumbe unapita huku. Karibu na wewe utupe fahari ya macho. Ninajitahídi na ile project, nitakupa mrejesho...Hili ndio chimbo lako Eli[emoji4][emoji4].
Nilikuwa nakutafuta nijue maendeleo yako.
Apo vepe [emoji23][emoji7][emoji23]View attachment 1269785
Acha kabisaaa,yaani haha yaani ngoja nitasema siku nyingine,simple but classic 😘 😘 😘Mambo ya casual ayo [emoji23]
Nashukur kwa kulielewa ilo Dundo af limeendana na soksi na suruali [emoji7]
Nilikuwa naku search wewe nikaona comment yako hapa ndio nikaja.😊😊Hahaha, Paula kumbe unapita huku. Karibu na wewe utupe fahari ya macho. Ninajitahídi na ile project, nitakupa mrejesho...
Utakuwa mzuri tu wala usijali. Yeah, fahari ya macho my friend,..Nilikuwa naku search wewe nikaona comment yako hapa ndio nikaja.[emoji4][emoji4]
Jitahidi Eli natumai mrejesho utakuwa mzuri.
Fahari ya macho? Lol[emoji4]
Na wewe pia mkuu vipi mguu unaendeleaje ?Weekend njema!!View attachment 1269897
Sawa ngoja nilale kwanza. Pakikucha nitapiga picha niposti.Utakuwa mzuri tu wala usijali. Yeah, fahari ya macho my friend,..
Viatu challenges hahaha daaaah 😘 😘 😘 😂
Nashukur kaka....mzee baba unajua dressing code...wanaume wengi unapata anavaa socks nyeupe suruali black etc...wakati inabidi viwe of the same color or close