Selfika na JF: Snap it. Show it

Weee siitoi bila idhini yako mamalaooo naanzajee! Huyu tunaenda nae astee asteeh!!!πŸ˜‚πŸ˜‚!!
 
Sina namna nyingine ya kuku offer zaidi ya hiyo au unataka kunitumia mwenyewe Crdb account number!
 
Hapa ni Mjini Kati Mkuu

Kukusaidia utakuwa unajaza nusu ndoo ya Zege wakati wengine wakijaza full 😜
Dah je nikibeba kile kisado kidogo cha rangi viwili uku na uku?

Au nipee kazi ya kuwahesabia mafundi vifaa vilivyotoka store au ata kuchota maji kupitia mpira naweza pia nihurumie mimi last born si una muona kaka Tayukwa na National Anthem wanavyo nisakama hapa
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… mkuu hapa zipo kazi ngumu pekee, hizo nyingine zote wamepewa watoto wa Mdosi
 
Nitamtumia Bank A/C Antonnia atakupa usijali kabisa big Boss mwenyewe... sinaga shaka nawewe kabisa.πŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒπŸ’ƒ
Watruuuuuu weuweeeehhhh πŸ’ƒπŸ’ƒ!! Hapo ni mwisho wa reliii wengine wakasomeeeeh!!!πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚!! Treiiiinaaaaahh wakaanze viduduuuu🀭🀭😁!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…