Hukuona intavoo ya Mobetto??
Aliulizwa je Rick Ross alikupa dollar ngapi, eti anasema hakupewa mara tulikutana kirafiki wala sio wapenzi, yaan anaongeaa huku km anajistukia,
Nkajisemea watu wa ulayaa mchezooo,
niliwahi date na jamaa mzungu, sitaki hata kuwasikiaaa, ukiombaa pesa utasikia lete projects plans,
Mbwaa yule sitamsahau kamweee,