Selfika na JF: Snap it. Show it

Nikajisemea nisije pondwa zaidi , sijaweka picha siku nyingi pia ndo maana pia .
Irudishe tu mwaya
Bando lako, hata ukipondwa, hukatiki mguu Wala kichwa 😆
Ungekuwepo kipindi uzi unaanza nadhani ungeukimbia😂Yale masekeseke yamepita humu.

Wewe weka tu
Amini Mungu alikuumba Kwa mfano wake na akaona kuwa ni vema.

Filter tumepewa tuzitumie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…