Kuna seminar moja ya kujiandaa kustaafu nilihudhuria miaka ile .......si nikakutana na mafunzo pia ya matumizi ya Condom ya mdomo 🙈
Ukifa kwa kiu ya maji baharini utakuwa uzembe wako tu, everything is on the place.
Furahieni maisha vijana huku mkichukua tahadhari, miaka yetu mambo hayo hayakwepo 😎🏃🏃