Wale wamama nimewanyooshea mikono, jinsi walivyosimama chapu kwa haraka, wallah lazima waliwahi tapeliwa walee.Hili jiji inatakiwa ukae kwa machale mtu usie mjua asikuzoee maana kupigwa ni dakika 0
GOnga mmoja uchangie pato
😂😂Hata mm ningechekaShangazi jana nilicheka km mwendawazimu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], sasa yule Kaka alivyokuja kwangu na kunionesha project yake ndo nilicheka zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hadi yeye akawa anachekaaa.
Jana sitasahau.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utajibebaaaa, na km kwa kupunguzia huna, unalo hilii ankoliiii.Karanga mbichi, pweza, maziwa na maji ya kutosha [emoji28]
Ndio hivyo yaani hawakutaka mazoea wale matapeli ukiwapa dakika moja tu ya kuwasikiliza umeliwaWale wamama nimewanyooshea mikono, jinsi walivyosimama chapu kwa haraka, wallah lazima waliwahi tapeliwa walee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kuraaa maishaaa kuraaa maishaa kwaraha zakoo granpahhh!!
Kila nikikumbuka wale wamama, jinsi walivyosimama chapu kwa haraka, nachekaa mbavu cnaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mm ningecheka
Embu fanya jambo ndugu mjumbeKapachino kiduku mpapaso bado mupoooh???
Hapa namalizia vikorosho na nazi alafu hapasomeki😅😅😅 upo utawala nikupitie tukatembee tembee baharini tu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] utajibebaaaa, na km kwa kupunguzia huna, unalo hilii ankoliiii.
Naona ushaenda kuzururaa ndugu mjumbe ntawabless tukishafturu basiii!!Ngoja tusubiriemo ndugu mjumbe
Lol kumbe bado upo 🤔🤔🤔☺️☺️☺️???Embu fanya jambo ndugu mjumbe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan acha tyuuh, ila Dar jaman hakuna kuaminiana kabisa.Ndio hivyo yaani hawakutaka mazoea wale matapeli ukiwapa dakika moja tu ya kuwasikiliza umeliwa
Nipo ndugu mjumbe tubarikiLol kumbe bado upo 🤔🤔🤔☺️☺️☺️???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee nshaogopaa mie hapa.Hapa namalizia vikorosho na nazi alafu hapasomeki[emoji28][emoji28][emoji28] upo utawala nikupitie tukatembee tembee baharini tu
Dar inatakiwa umuamini unae mjua usie mjua unakaa nae mbali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan acha tyuuh, ila Dar jaman hakuna kuaminiana kabisa.
😅😅 acha woga tunatembea tuuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee nshaogopaa mie hapa.
😋😋😋😋☺️ hatari tupu na hizi koroshooo.. badae tutoke out auntMuwe na mchana wapendwaaa!
Tonniah was hereee✌️✌️✌️✌️✌️!!!
Bantu Lady Kapachino kiduku mpapaso sumbai National Anthem Aaliyah cocastic
[emoji28][emoji28] acha woga tunatembea tuuu