Hivi uko pande za wapiTuma nauli![]()
![]()
![]()
![]()
Hivi uko pande za wapiTuma nauli![]()
![]()
![]()
![]()
GezauloleHivi uko pande za wapi
Ntakuja kula christmass huko, naomba u nikaribishe tuGezaulole
KaribuuuuNtakuja kula christmass huko, naomba u nikaribishe tu
Mbona sioni maji yenye rangi ya Gold kwenye hizo meza ?
Nimemiss hizi mambo...
Natafuta mualiko kwa wenye kuwa na mnuso kama hivi
Nope,, ila wajua vyenye wanawake tunawahi kukuwa kiakili na kimaumbile kuliko wanaume..
Clarks me prefer...View attachment 1269462

Harusi ina raha yake .
Ikitokea nyingine usiache nialika basi...
Nimemiss wale kuku wa brown...![]()
Hata kwa majirani meza ya pembeni sijaona pia.Mkuu meza nzima hatutumii hayo maji yenye gold .
He!!!!!!!!!!!!!usiku mwemaaGezaulole
Hata kwa majirani meza ya pembeni sijaona pia.