Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,372
- 12,479
Beb tufanyie wepes sikukuu iende poaHeri ya pasaka wapendwa..[emoji7][emoji8]
Matumizi mabaya ni yapi?π€π€au ni Yale ya kujichukulia sheria mkononiUsihofu hatutaitumia kwa matumizi mabaya usikonde mpenzi ππππ
Karibu sikukuuuAhsante sumbai
Huu mualiko kama mtego dizaini Fulani mpe huyu mruke yule π π π
Karibu sanaVizuri tukapeana na mwaliko ili mambo yaende mswano
πππππImetoka hiyoBeb tufanyie wepes sikukuu iende poa
dk moja tu umetoa
irudiwe [emoji3166]
Mkuu sikuyaona maombi yako.Huu mualiko kama mtego dizaini Fulani mpe huyu mruke yule [emoji28][emoji28][emoji28]
Nimeomba mialiko muda wote watu wapo kimya kaja Beeb naona chapu mzee unataka umuandalie na mazagazaga [emoji28][emoji28][emoji28]
Niko tayari Kwa mwaliko ila sijui nakaribia wapi BeebKaribu sana
Pamoja nitakuja na Beeb kama ataridhia
Hahaha mzeee. Uje nae Ila hamuindoki wotePamoja nitakuja na Beeb kama ataridhia
π€π€π€Toka mwanzo niliona huu mualiko umekaa kimchongo zaidi.Ngoja nikampange pm abadilishe mawazoHahaha mzeee. Uje nae Ila hamuindoki wote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ban imeisha bestieMashalllah!!
Mtoto na u shape wakooo,
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hatarii kabisa!
Nimepitwa iruduwe mweeHeri ya pasaka wapendwa..ππ
Naona kapigwa