Mbna leo mnanitajia sanaa Ban asubuhi yotee hii, ngoja nisepee zangu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Dah uweke ushahidi taaminije.....
Usipoweka ushahidi nakupiga bani
Sent using Jamii Forums mobile app
Utaki kuzagamuliwa na banMbna leo mnanitajia sanaa Ban asubuhi yotee hii, ngoja nisepee zangu.
Nuksi mapema yote hiii.
Nilikuwepoo.
Kiongozi Ile ilikuwa one way to tunduma.Acha kuzuga
Hiyo bajaj
Uelekeo ulionyesha
Chamazi moja
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbna leo mnanitajia sanaa Ban asubuhi yotee hii, ngoja nisepee zangu.
Nuksi mapema yote hiii.
Nilikuwepoo.
Uuwii🙆♂️Utakuja urogwee wee, ina maana limbwata halifanyi kazi?? Ngoja nkaongezee dawa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu ni Rachel huoni kidani 😅😅
Ukitoa hicho kipini
Rachel yupi? Anatumia Id ipi?? Tumjulie Hali.Huyu ni Rachel huoni kidani [emoji28][emoji28]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] naenda kuongeza dawaa, nipo ndani ya Super feo nateremka bondeni.Uuwii[emoji2297]
Imekula kwangu
😃😃Acha kuzuga
Hiyo bajaj
Uelekeo ulionyesha
Chamazi moja
Halafu nilisikia ulikula banMbna leo mnanitajia sanaa Ban asubuhi yotee hii, ngoja nisepee zangu.
Nuksi mapema yote hiii.
Nilikuwepoo.
Ndio hivyo now niko huru, tuishi humo tyuuh.Halafu nilisikia ulikula ban
Ndio hivyo now niko huru, tuishi humo tyuuh.sema
Pole sana naona wanatembea na wewe ngadu kwa ngaduNdio hivyo now niko huru, tuishi humo tyuuh.
Labda wa Ethiopia kwa bongo 🤷 sijui