National Anthem
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 19,175
- 56,212
Njoo PM nikuelekeze , mod wamelala si unajua mambo ya pasakaNiwapm mods au? Nimejaribu kuwa PM muda hawajajibu. Nilikuwa najiunga JF kwa mara ya kwanza so nikataka kutumia jina langu la loveness ikasema lipo so ikabidi niongeze hiyo nyingine ila naona hii ID haijakaa kimaadili na wengi wananichukulia kama malaya najiuza sasa nataka nibadilishe hiyo ID. Toka mwaka jana nimejaribu nimeshindwa my.
Wewe nieleweshe hapa na sio huko PM. Ngoja nifanye kama dada Aaliyyah alivyonishauri.Njoo PM nikueleweshe mrembo
Tumia browser kuingia then utaingia kwenye profile Yako utaona sehemu ya kuchange IdNiwapm mods au? Nimejaribu kuwa PM muda hawajajibu. Nilikuwa najiunga JF kwa mara ya kwanza so nikataka kutumia jina langu la loveness ikasema lipo so ikabidi niongeze hiyo nyingine ila naona hii ID haijakaa kimaadili na wengi wananichukulia kama malaya najiuza sasa nataka nibadilishe hiyo ID. Toka mwaka jana nimejaribu nimeshindwa my.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Njoo PM nikuelekeze , mod wamelala si unajua mambo ya pasaka
Sawa nashukuru sister.Ngoja niangalie link kama Bado ipo nitakutumia
Weuwee jicho Kwa mbali ππββοΈView attachment 2581829
Ondoa hako ka emoj basiπββοΈView attachment 2581829
Waache tuu.Mbona hamtualiki Jamani tunafuturu mapema tu tulete mahot pot [emoji23][emoji23]
Antonnia
Saint Anne IDD haiko mbali mjue[emoji3][emoji3]
Njoo misungwiMbona hamtualiki Jamani tunafuturu mapema tu tulete mahot pot ππ
Antonnia
Saint Anne IDD haiko mbali mjueππ
Ukifungua browser Kama unaangalia profile yako.Ngoja niangalie link kama Bado ipo nitakutumia
Pamoja na li stika kuubwa lakini inaonekana wewe pisi kali[emoji2162]View attachment 2581829
Hahah nipo buhongwa Shelli hapa. Napanda daladala za wapi?? Nije chaaapNjoo misungwi
Njoo misungwi
SawaUkifungua browser Kama unaangalia profile yako.
Then kuna sehem wameandika account details
Ukiclick pale
Linakuja jina la account yako mbele yake kuna neno change.
Ukiclick change then you can change your user name
Sent using Jamii Forums mobile app
π π hapo unatembea ili ufike mda ambao tunapakua msosi.. dalala utapoteza pesa bure tuHahah nipo buhongwa Shelli hapa. Napanda daladala za wapi?? Nije chaaap
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani wakituchunia IDD tunaongea kiarabu tu huku ndani πππ
Ewaaa... tumeangusha na ng'ombe na mbuziii .. ukuje tukule na ubebee.. usiseme sijakualikaAwwee ngoja nijindae hapa nauli buku tuππNije kula mpunga