Naaam hizi ndio zenyewe.Kichwa kama kichwa [emoji2960][emoji2960]!! Sijamaliza hadi kesho sema Nataka kusuka kama hizi mnywanii!! Zinakaa muda mrefu
I'm grateful.Nimewamiss hamjambo? Nilikuwa busy na maandalizi ya Easter kesho. Nawapenda sana [emoji8][emoji8][emoji8]
Finally walau mzee wa hall 5 atatulia!Nimewamiss hamjambo? Nilikuwa busy na maandalizi ya Easter kesho. Nawapenda sana 😘😘😘
Umependeza Sana mnyama mkali!Kichwa kama kichwa 🤭🤭!! Sijamaliza hadi kesho sema Nataka kusuka kama hizi mnywanii!! Zinakaa muda mrefu
Nilikuwa naangalia. Huo msuko Saafi sana.sumbai tatizo lako unazurula Sana unapitwa huku we mzee wa hall 5
Kucha si utamaliza wewe kwa athanas kucha pale kimara?Nilikuwa naangalia. Huo msuko Saafi sana.
Huo pesa unalipa kiroho saaafi kabisaaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hio sampo tu sio mie mnywanii![emoji1787][emoji1787]
Aliekupeleka Cuba Mungu anakuona!Hio sampo tu sio mie mnywanii!🤣🤣
Naaam hizo mbata huwa tamu sanaa.Huku Pwani Nazi ikiwa hivi haiitwi tena NAZI inatwa MBATA.View attachment 2581494
Utadhani mchina kakatwa mapanga kichwani na kunyolewa paraa😂Naaam hizo mbata huwa tamu sanaa.
Nazi iliyokauka maji.
Vip huwa mnazitumia kwenye medani za Giza?
Sent using Jamii Forums mobile app
Santoo sana Mnyama mkareeeee ✌️✌️Umependeza Sana mnyama mkali!
Uzuri nao unakubeba we litotoSantoo sana Mnyama mkareeeee ✌️✌️
Nijazeee nijazeee weee nijazeee tyuuuu mnywanii 🤭Uzuri nao unakubeba we litoto
Niangalizie nyingine apo ebu!Nijazeee nijazeee weee nijazeee tyuuuu mnywanii 🤭
Dakika sifuri Usipepese hata kopeeeeNiangalizie nyingine apo ebu!
Si unajua ndo tunaikaribisha Easter ivo