Selfika na JF: Snap it. Show it

ZABURI 118:5-7

⁵ Katika shida yangu nalimwita Bwana; Bwana akanijibu akaniweka panapo nafasi.

⁶ Bwana yuko upande wangu, sitaogopa; Mwanadamu atanitenda nini?

⁷ Bwana yuko upande wangu, msaidizi wangu, Kwa hiyo nitawaona wanaonichukia wameshindwa.

HILO NDILO NENO LA MUNGU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…