Mlifaidi Sana!Wapi mwana
Nilikuwa napitia nyuzi yao
2012 huko mademu walikuwa wanafunguka Ile Ile
Na kulikuwa na mabazazi balaa
Miaka 11 hao sasa mama zetu
π π kuna siku mmoja mida ya saa tisa usiku nikakutana kawaka kinoma maeneo yake, lilikuwa lina takoo mtoto anakaaa alafu anasema unapewa hadi tope.. alikuwa mcheshi sana yule dada.. anaongea kama kasuku sijaona mdada paka sasa wa kumfunika yule mama kwa mathusii π π
Kwa hio sisi wa huku namanyere maji moto pisi za huku hazituhusu sioUkiwa wa Dar pisi za chuga utazivunja sanaaa
Mzee na wewe kumbe muhenga
π π π inabidi utoe maelezo marefu sanaaa..Kwa hio sisi wa huku namanyere maji moto pisi za huku hazituhusu sio
kwaiyo alikuwa muuzaji live? Itakuwa mlimchakata Sanaπ π kuna siku mmoja mida ya saa tisa usiku nikakutana kawaka kinoma maeneo yake, lilikuwa lina takoo mtoto anakaaa alafu anasema unapewa hadi tope.. alikuwa mcheshi sana yule dada.. anaongea kama kasuku sijaona mdada paka sasa wa kumfunika yule mama kwa mathusii π π
π π π kama alikuwa anafanya indirect.. Hapana mie sijawai kula mzigo jf hadi leo hii sijawai kula mzigo humu. Na sitokaa nile mzigo humukwaiyo alikuwa muuzaji live? Itakuwa mlimchakata Sana
sema litakuwa lizuri Sana ilo li dada!π π π kama alikuwa anafanya indirect.. Hapana mie sijawai kula mzigo jf hadi leo hii sijawai kula mzigo humu. Na sitokaa nile mzigo humu
Hakuwa na noma na mtu alikuwa na amani na kila mtu palba umkorofishe tu, ila uzuri wa mtu upo machoni pa mtu bwanasheeee π π π . Hamu ukiona mtu anapopolewa ujue kajiona almasi π€£π€£sema litakuwa lizuri Sana ilo li dada!
Maana kwa ninavyojua ingekuwa pisi mbovu Watu wanavyojua kunanga humu jf haha kitambo wangekuwa wamesharuka nae.
Verified pisi kali!Weee mjomba kwahio niringe eehh???
Santo sana mjomba akee!!
Mnywani ndio ushasema mi ninani hata nipinge π€©π€©!!Verified pisi kali!
Ringa malkia AntonniaWeee mjomba kwahio niringe eehh???
Santo sana mjomba akee!!
Eti wanasema unarangi ya mtume ndugu mjumbeNina mpya basii sina hata mpya ndugu mjumbe nimemiss lile smile mieee!!!
πππππ€π€π€ππππ!!Ringa malkia Antonnia
mtoto una rangi ya mvuto safi na pozi...
uzuri unao figa unayo usijali we ringa tuu,
mtoto unang'aa gheto mwanga wa mshumaa,
ah, ah, uzuri wako wa asili akili wako utajiri
heshima hadi usafiri kuringa unastahili (ringaa),
bambataa utadhani mko wawili,
siyo siri wengi tu unawachanganya akili, (ringaa), π₯π₯π₯π₯ weeeringaaaaa
ha, haa, ringa tuu mamaa we kifaa japo wazushi bado wanakataa,πππππ€π€π€ππππ!!
Sio kwa verses hizo mjomba auweeeeehhh!!!
Mlipoamkia leo ndugu mjumbe πππ!! Filters tu rafiki!πEti wanasema unarangi ya mtume ndugu mjumbe