Wigelekelo
JF-Expert Member
- Sep 2, 2018
- 8,765
- 26,902
Wamekula sana bataMimi nilikuwa sijui Kama Kuna kitu kinaotwa jf!
Sema Kama unakumbuka selection za miaka ile za mjengoni kabla released by tcu. Zili liak pitia humu. Ndipo nikaifahamu. Sema akili ya kujiunga nilikuwa Sina kabisa.
Kumbe umekula mema mengi Sana na mzee mwenzio National Anthem
We mzee umeshashiba futari sioWamekula sana bata
Na mbususu
Ndio aiseeWe mzee umeshashiba futari sio
Mie nimeona mengi na kujifunza mengi .. kuna kipindi nilishaka JF nje hasa 2014 hadi 2019 nahizi ndio nokarudi tenaa. Ila sijawa tunutukiwa na mapambanooo yooote humu.. hadi nazeekaMimi nilikuwa sijui Kama Kuna kitu kinaotwa jf!
Sema Kama unakumbuka selection za miaka ile za mjengoni kabla released by tcu. Zili liak pitia humu. Ndipo nikaifahamu. Sema akili ya kujiunga nilikuwa Sina kabisa.
Kumbe umekula mema mengi Sana na mzee mwenzio National Anthem
nipo vyedi? japo nilipeperusha bendera ya taifa.Hahahah
walifanya: a + a = jibu, then a x jibu = 😅😅😅
@PretaMie nimeona mengi na kujifunza mengi .. kuna kipindi nilishaka JF nje hasa 2014 hadi 2019 nahizi ndio nokarudi tenaa. Ila sijawa tunutukiwa na mapambanooo yooote humu.. hadi nazeeka
Arusha wing huyoo.. mie nilikuwa namuelewa Paloma .. si wajua uzuri wa mtu upo machoni.. kama asahivi malkia namba moja Jf ni Antonnia ... mzuri wa mda wote@Preta
Alikuwa mrembo eeh?
Mtaalam mwenyewe kwenye ubora wako@Preta
Alikuwa mrembo eeh?
Wadada wa ile kanda wanaupendeleo sana wa suraArusha wing huyoo.. mie nilikuwa namuelewa Paloma .. si wajua uzuri wa mtu upo machoni.. kama asahivi malkia namba moja Jf ni Antonnia ... mzuri wa mda wote
Alafu sio wachoyo, na wanashoboka sana na wanaume wa DarWadada wa ile kanda wanaupendeleo sana wa sura
Wapi mwana[emoji1787]Mtaalam mwenyewe kwenye ubora wako
Kulikuwa na kisu moja ingine nomaaa mzee.. sema ipo active ningekutajia.. ila itaona maana na mume wake naona ana ID humu, tusije anzisha vitaWapi mwana[emoji1787]
Nilikuwa napitia nyuzi yao
2012 huko mademu walikuwa wanafunguka Ile Ile
Na kulikuwa na mabazazi balaa
Miaka 11 hao sasa mama zetu[emoji1787]
Niliona aiseeAlafu sio wachoyo, na wanashoboka sana na wanaume wa Dar
Nilikua nawasoma palikua pa moto humuWapi mwana[emoji1787]
Nilikuwa napitia nyuzi yao
2012 huko mademu walikuwa wanafunguka Ile Ile
Na kulikuwa na mabazazi balaa
Miaka 11 hao sasa mama zetu[emoji1787]
Ukiwa wa Dar pisi za chuga utazivunja sanaaa 😅😅Niliona aisee
Kuna kaburi limefukuliwa
Nikajionea aisee
TenaUkiwa wa Dar pisi za chuga utazivunja sanaaa [emoji28][emoji28]