[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hellowzzzzzzzzzzz!!!
Coca in da house, ndo nimeingia hivyooo na mabegi nimeshatuaaaaa,
Ila sio kwa kifungo hikii, yaan hadi nilisahau km kuna selfika, leo modes mwenyewe kanifuata PM na kunambia niko huru, ila nipunguzee heka heka, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapiiiiiii selfikaaa, hebu wekeni picha zenu niwaoneeee, maana kitamboooo sanaaaa.
Nimewamic mnooooooooo!!!!!!!!!!
[emoji178][emoji178][emoji178][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]
Kwahiyo heka heka zitapungua?Hellowzzzzzzzzzzz!!!
Coca in da house, ndo nimeingia hivyooo na mabegi nimeshatuaaaaa,
Ila sio kwa kifungo hikii, yaan hadi nilisahau km kuna selfika, leo modes mwenyewe kanifuata PM na kunambia niko huru, ila nipunguzee heka heka, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapiiiiiii selfikaaa, hebu wekeni picha zenu niwaoneeee, maana kitamboooo sanaaaa.
Nimewamic mnooooooooo!!!!!!!!!!
[emoji178][emoji178][emoji178][emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]
Hii weather nadhani ni kwa sehemu kubwa ya Tz? Nimewasiliana na watu watatu kutoka sehemu tofauti, naona majibu yao yanafanana.oh vyema .. Tunamshukuru Mungu , what a cool weather leo
yeah sehemu nyingi naona . HabariHii weather nadhani ni kwa sehemu kubwa ya Tz? Nimewasiliana na watu watatu kutoka sehemu tofauti, naona majibu yao yanafanana.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nawezajee thathaa?etiiiPunguza heka heka na mathusi sawa 🥸🥸View attachment 2574891
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwanza kabisa,tunataka kuona hekaheka za vazi uliloenda kuchukulia tuzo
Naanzaje sasa, modes wanivumilie tyuuh.
karibu tena dear .Naanzaje sasa, modes wanivumilie tyuuh.
Bila heka heka, sio cocastic ntakua pepsistic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Waliwapa nini shostee??[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sikwendaa mie, kuna mtu nilimtumaaa.
Naanzajee kwenda mie, lol
Thubutuuuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Waliwapa nini shostee??
Wanataka upunguze hekaheka,bila hekaheka ungeshindaje sasa?
Mic u [emoji8][emoji8][emoji182][emoji182][emoji182]karibu tena dear .
[emoji23]Naanzaje sasa, modes wanivumilie tyuuh.
Bila heka heka, sio cocastic ntakua pepsistic
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wallah
Kulikuwa na mashindano humu ndani, ama ni ushindi uliotokana na nini?Waliwapa nini shostee??
Wanataka upunguze hekaheka,bila hekaheka ungeshindaje sasa?
Wacha weee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Diary na 200k
Upo dunia gani Mkuu [emoji1787]Kulikuwa na mashindano humu ndani, ama ni ushindi uliotokana na nini?
Naona sipo updated kabisa kumbe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya EasterTayari haupo ? Nimuagizie malaika aunt Antonnia zawadi maalumu 🥸🥸🥸