Jamani who is she!!
Hio ni pisi kali ya sumbai anaitwa Bantu Lady hio ni majuzi akiwa njiani kwa bus elekea lubumbashi kutazama gemu yao ya shirikishoJamani who is she!!
Huyu mutu yupo Tz au katoka kwa kagame?
Samahani nimesikia ugonjwa wa kisukari hutokana na kuzidi kwa utam kwa mgonjwa enzi za uzima wake..Hio ni pisi kali ya sumbai anaitwa Bantu Lady hio ni majuzi akiwa njiani kwa bus elekea lubumbashi kutazama gemu yao ya shirikisho
Moyo wangu hapa umetulia tuli sasaNimekujaa nimekujaa ankaliii akeee samalekooo!
ππππππMoyo wangu hapa umetulia tuli sasa
Una cheza na moyo wa Chino Sana!ππππππ
Enjoy kabisa Ankol, kweli maisha ni hayahaya...Katoto kazuri, ka shanga ka rangi ya gold kiunoni, kipini kitovuni, kikukuu cha gold mguuni.. na ka pete kidoleni cha mguu.. tatoo kiunoni ..πππ... weekend tamuu sanaa.. katoto rangi ya gold kama Antonnia mcheshi kama Bantu Lady .. maisha ndio haya haya na ndio weekend imeanza mwendo wa amarula na hennesy
Mwanamke mvuto banaaa πππ nikimtazama tabasamu na ka kipini kake ka puani.. miw hoi na kale katabasamu kakitotoooEnjoy kabisa Ankol, kweli maisha ni hayahaya...
Hakuna kupoteza muda, ni full kuenjoy na weekemd ndiyo hii.
πππ mdogo wangu umekuwa adimu sana. Nipe siri ya kupotea kabisaaaEwaaa Enjoy kaka mkubwa life is too short kwakweli hongera βΊοΈπ
Sijapotea kabisaa nipo Kaka napitaga kimya kimya tuu nikipata chanceππππ mdogo wangu umekuwa adimu sana. Nipe siri ya kupotea kabisaaa
πππ₯°π₯°π₯°ππππ ndio maana nakupenda sanaaa mdogo wangu.. hujawai niangusha
Saaafiii
Mzeee hongera saana.