Sijui limetokea wapi, ila neno njumu linamaanisha vile vinundu nundu/meno meno yale unapata chini ya kiatu cha michezo sana utafind kwa soccer, football(american football), rugby, tracks n field shoes
Ahahaha eti dingi hana uwezo,, hilo neno njumu huwa nalisikia tu mtaani na ninadhani hata baadhi ya wakenya pia huwa wanalitumia.. ni sheng ya nai hiyo