Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
Una balaa Ankol unajua πππππ»ππ»ππ» vizuri sana...π π hapa baadae usiku kuna jisupuuu la pwezaaa .. si unaja linaongeza damu na chakula nzuri kwa brain..
Aunt yangu mzima lakini ? Weekend yako imeanzaje
Usijareee mjomba wanguuπ wewe treiiiinaah sema kingine Mjomba!!π π π shangazii jiadae kuja kuninyoa ..miss you furaha yangu ni wewe
Thanks but sijasahau ur promise Bantu LadyWow asante sana Tayukwa kinaonyesha ni kitamu sana, enjoy ur Iftar rafiki π
Kingineee nitakuambia tukiwa pamoja πππUsijareee mjomba wanguuπ wewe treiiiinaah sema kingine Mjomba!!
Lakini hili sijui lina ukweli maana kila siku nazidi kuaminishwa tu.... Pisi kali nyingi zipo huko utopoloni na wachache wakali zaidi wapo MsimbaziUna balaa Ankol unajua πππππ»ππ»ππ» vizuri sana...
Mimi mzima Ankol weekend yangu imeanza poa. Huku tukiwasubiria Raja, watufungie midomo makolo FC...
π π π kumbe kuna mpira duh.. Sema Raja anamchakaza vizuriUna balaa Ankol unajua πππππ»ππ»ππ» vizuri sana...
Mimi mzima Ankol weekend yangu imeanza poa. Huku tukiwasubiria Raja, watufungie midomo makolo FC...
Mimi nimeweka sana rafiki, ngoja na wengine watubless πππππ halafu wewe hujatubless hata siku moja rafiki!!!Thanks but sijasahau ur promise Bantu Lady
Ulikuwa umesinzia tu nishafanya yangu mara nyingi tu muulize ankali TonniahMimi nimeweka sana rafiki, ngoja na wengine watubless πππππ halafu wewe hujatubless hata siku moja rafiki!!!
Hamkuwa mnaniita, kumbe wabaya nyinyi mmmh!!!Ulikuwa umesinzia tu nishafanya yangu mara nyingi tu muulize ankali Tonniah
Tusamehe sisiHamkuwa mnaniita, kumbe wabaya nyinyi mmmh!!!
Aunt sijakuona siku mingi πππMimi nimeweka sana rafiki, ngoja na wengine watubless πππππ halafu wewe hujatubless hata siku moja rafiki!!!
Yummy yummy π
Ankol jamani Mwanza kumekupenda sana kaa hukohuko. Hao samaki si mchezo mpaka umenenepa na kupendeza zaidi.Aunt sijakuona siku mingi πππView attachment 2572317
C.c Malaika wangu Antonnia shangazi mwenyewe
πππ hakika aunt mwanza mambo ni moto.. mambo ya mdogo wangu Lovelovie haniachi kaka yake nilale na njaaa kila siku masatoAnkol jamani Mwanza kumekupenda sana kaa hukohuko. Hao samaki si mchezo mpaka umenenepa na kupendeza zaidi.
Kanda ya ziwa mambo ni π₯π₯π₯π₯π₯
Ankol umekuwa mpyaaa
Jamaa anajuaTena Chino [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
ThubutuuLeo kibao kimegeuka kwangu jamani [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] hamna kitu. Shangazi miye jua linazama hili
NiHujakosea sophy! Kila mtu na utawala wake malkia wa mapishi. huyu tonnia ni mnoma
Misa you aunt wanguUmepotea kweli mambo ni moto