Hayo ndio mambo
I have already done it.....sumbai tayari? Usiquote sawa mzee wa Hall 5 [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Thank you sumbai nimemalizana deni nawewe sasa. Si ndiyo?Hayo ndio mambo
Rangi ya mtumeeeee.
Marshalaaah............
[emoji7]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana. Bado deni ni kubwa saana Kama la hii nchi.Thank you sumbai nimemalizana deni nawewe sasa. Si ndiyo?
Anasubiria Iftar kwa hamu huko. Yeye aliiona jana, leo na kasema kaisave ππππ Chino hana maana kabisaHapana. Bado deni ni kubwa saana Kama la hii nchi.
Where is Chino?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Chino kaisave.Anasubiria Iftar kwa hamu huko. Yeye aliiona jana, leo na kasema kaisave [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Chino hana maana kabisa
Nimekoma mimi ππ»ππ»ππ»ππ»πππππ
Nimekubali.Nimekoma mimi [emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1316][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Msinifanyie hivyo wazee wa Hall 5 dah [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Ila....????
Pole rafiki next time, ila tumekuita sana. Iftar njema Tayukwa sumbai Kapachino Na wote mnaofuturu japo hamtukaribishi πUliahidi nini na unafanya nini rafiki yangu kipenzi??
Si tulikubaliana haya mambo yaanze saa moja na nusu usiku au nilisikia vibaya mimi
Kwa nini napitwaaa kwa sababu muda bado
Una nini Ankol? π π π π π hongera sana Ankol wetu. Ndoa ni jambo jema na kuongeza Elimu pia. Kila la kheri Ankol Mwenyezi Mungu akutangulie.
Ankol mambo niπ₯π₯π₯π₯πππππππ hao samaki yaani ni mchemsho wa nguvu. Ukitoka hapo Aunt lazima aseme thanks babe....
πππππ Iftar njemaaa mjombaaa naona Tayukwa Kapachino ndio wametudindia kutukaribishaaaa kabesaaa vibaya hivoooo mjueee!! in Bantu Lady voice βΊοΈ!
π π hapa baadae usiku kuna jisupuuu la pwezaaa .. si unaja linaongeza damu na chakula nzuri kwa brain..Ankol mambo niπ₯π₯π₯π₯πππππππ hao samaki yaani ni mchemsho wa nguvu. Ukitoka hapo Aunt lazima aseme thanks babe....
Wow asante sana Tayukwa kinaonyesha ni kitamu sana, enjoy ur Iftar rafiki π
π π π shangazii jiadae kuja kuninyoa ..miss you furaha yangu ni weweπππππ Iftar njemaaa mjombaaa naona Tayukwa Kapachino ndio wametudindia kutukaribishaaaa kabesaaa vibaya hivoooo mjueee!! in Bantu Lady voice βΊοΈ!