Naongea mie sema inategemea na mtu nikuzoee , otherwise naongea kidunchu sana , utasema huyu mpole kumbe hehehe ,Umegongewa kupiga stori?[emoji1787]
Mimi nisivyojua kuchangia mada,mpiga stori mbona atajisikia vibaya..
Yaani sizoeleki.
Ndiyo unilime dislike? 😃😃Chaaa😂
Delivery yangu inaishia kituo cha daladala
[emoji23][emoji23]Ndiyo unilime dislike? [emoji2][emoji2]
DuhNaongea mie sema inategemea na mtu nikuzoee , otherwise naongea kidunchu sana , utasema huyu mpole kumbe hehehe ,
Parfume ya mosuf(sijui Kama nimeandika sahihi) Ni Bei gani?[emoji23][emoji23]
Ndiyo
Aisee..😀😀Uzee mzuri hata mm napenda kuwa lishangazi basi tu ujana hekaheka nyingi😂😂😂
Duhhahaha eti huzoeleki , alitaka kujua kama tunaendana kitabia kumbe wapi , nimtajie bar za huku aende , nikamtajia kadhaa .
Af25 tuParfume ya mosuf(sijui Kama nimeandika sahihi) Ni Bei gani?
Hujambo jiranipunguza emoji hiyo , looking gorgeous .
Hujambo lakini jirani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna chochote,halafu nafanya at break-even point...very low profit,,just want to build customers base na uaminufu.
Angalau mvua inanyesha hakuna jua[emoji23]
Jua linanipiga hadi huwa navaa cap nikianza misele.
🤣Chaaa😂
Delivery yangu inaishia kituo cha daladala
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Mmelala nilitaka niwabless
TublessMmelala nilitaka niwabless
Wooooow
Nipo nimewahi hii😍
Hongera msitoke hapoNipo nimewahi hii😍
Sitoki nasubiri selfie ya TinsleyHongera msitoke hapo