Selfika na JF: Snap it. Show it

Amarula iko kichwani hapa πŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆπŸ™ˆ naacha kuandika kwa kweli. Kesho naweza nisivisome πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Wee Jichanganye unywe ya baridi sana ikufanye kitu mbaya kama ile siku!!
Hahahahaaaa..
Naona Imekolea kweri kweri 🀭😊
 
Hili song ukiliimba wakati mambo yapo vizuri kwenye penzi lazima ujikute Dunia you're unaimiliki wewe. Ila ikiwa vinginevyo....!!
 
Hii tabia sikumbuki imeanza lini, ila ninayo tu. Naangalia na hakuna hata cha maana nafanya. Mazoea tu kama wao wanavyogeuka tukipita. Nao tunawaanzia mbele kuwaangalia πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Kwa nini mnapenda kutuangalia kwenye zipu?

Juzi natoka night shift saa moja,kidogo hali ilikuwa siyo hali maana niliisinzia asubuhi kwenye kiti,nilipoamka tu nikasimamisha. Yule mdada alipokuja kuchukua report ya kazi ya usiku Cha kwanza macho yake yakagonga kwenye zipu. Niliweka mikono mifukoni ghafla bin vuu na kutafuta kiti nikae Kisha tutete.

Bantu Lady why mko hivi?
 
Huwa ipogo tu halafu hakuna hata cha maana ila tushazoea tu!
 
Unaona ni wadada wengi kumbe. Mimi naangalia kama imesimama nione size basi.
Kuna kaka mgeni alikuja ofisini, japo alishaondoka.
Akawa ananifatilia, sasa kila mara inasimama πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… na ni likubwa hilo.
Basi mdada mmoja mtu mzima, akanifata akaniambia mdogo wangu, mfanyakazi mpya mambo yake si mchezo 🀣🀣🀣🀣🀣🀣 nikajifanya sijawahi kumuona ikiwa imesimama πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»πŸ™ŒπŸ»
 
Huwa hampati nyege?

Sisi wanaume tukiona mzigo au paja limenona ndiyo hivyo tena lazima tuweke mikono mifukoni kuzuga ili kuficha fedheha.
 
Bantu lady fanya ulalee naona Amarula inakuwehusha Ujue 😁😁😁😁!!

Kuna wadada wengine wakiona yaliyomo yamo wanapenda kutest mitrambo hahaha! Wanaume hapo mna Kazi!!
Kuna mkaka mmoja miaka hiooo aliwafanya sana wanawake kiutani utani tu kisa ana Dyudyu kubwa!!

Wengine walikua wakimuona tu vile wamesikia watu wakimtania au kumsifia haaa wasio na mshipa wa aibu wanaenda kuigusa gusa eti nawao waone πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ! Mbantu Fanya urareee kwanza naona akili sio yako hapoo😁!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…