Ndiwooo ndiwooo.. everything is real hakuna feki hapooo!! unaachaje kudata kwa mfano ππTuache masihara mtu mpaka kajiita 'bantu' obvious Ni shida tupu. Kila kitu Ni asili apo. Ujue mnywani.
Wewe mwanamke umeumbwaa.Uwiiii ππππππββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Una Horsepower na Torque ya kutosha kuhakikisha anafika anapokwendaaa π π π kama unatumia engine za AMG sina wasi wasiType yangu ni Yule binti wa kibantu.
Kabisa kabisa Chino swaumu lazima ikateee chezea totroo mkareee weweh!ππ Bila kusahau π€³ya iftar badaee!!Wewe mwanamke umeumbwaa.
Haha Na uzuri wako; laini afu linacheza cheza cheza jenyewe
Achana na wale wamebarikiwa Ila Ni ngumu mno kuruka ruka.
Nisije nikafungulia Chino mie see you badae cc Antonnia
Na siku sijakuona Malaika ππ. Fanya kama umekosea nionee neema za uumbajiKabisa kabisa Chino swaumu lazima ikateee chezea totroo mkareee weweh!ππ Bila kusahau π€³ya iftar badaee!!
Take your time and enjoy your evening wapendwa!!!
Pole kwa kuuguza mjombaa Watakua sawa IJN;!
π π ugonjwa wa miezi 9Pole kwa kuuguza mjombaa Watakua sawa IJN;!
Amen
Sijapiga mpya mjomba acha nikuchekie ya zamani!!Na siku sijakuona Malaika ππ. Fanya kama umekosea nionee neema za uumbaji
Heeee halafu April hii bana nilisahau lol!!π π ugonjwa wa miezi 9
Kila siku we kwangu mpya, na kila kitu chako kwangu ni kipya huna cha zamaniSijapiga mpya mjomba acha nikuchekie ya zamani!!
Ameena.. tupo kwenye mda wa matarajiooo , ukiona mtu anavochokaa unasema humpi tena kibend π€£π€£π€£π€£π€£Heeee halafu April hii bana nilisahau lol!!
God is good Atadeliver salama mjomba!!
Moyo wanguuu ππππ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£Ndio ivooo mjomba si wenyewe unaeza sema sibebi trenaaaaa haaa ikifika muda mwenyewe Unatamani kachanga kengineπππ!Ameena.. tupo kwenye mda wa matarajiooo , ukiona mtu anavochokaa unasema humpi tena kibend π€£π€£π€£π€£π€£
Aririririiirihπππππ€Έπ€Έπ€ΈπͺπͺπͺMoyo wanguuu ππππ
Bidamu tumeumbwa kusahahu ndio maana labda.. ila hadi huruma.. hakika unahitaji kupendwa, kudekezwa na kupewa kila unacho hitaji kazi ni nzito ππππ€£π€£π€£π€£π€£π€£Ndio ivooo mjomba si wenyewe unaeza sema sibebi trenaaaaa haaa ikifika muda mwenyewe Unatamani kachanga kengineπππ!
Kila la kheri mjomba Atajifungua salama!
Kabisa mjomba katu usimnyime Hivo vitu na furaha kulea mimba 9 months na kuzaa sio mchezoo!!Bidamu tumeumbwa kusahahu ndio maana labda.. ila hadi huruma.. hakika unahitaji kupendwa, kudekezwa na kupewa kila unacho hitaji kazi ni nzito πππ
Kukuangalia tu, ni afya mifupani naona hata siku za kuishi zinaongezeka ππ.. uzuri wako unaongeza siku za kuisha.. asie kubali ahame jf π πAririririiirihπππππ€Έπ€Έπ€Έπͺπͺπͺ
Nakusalimu kwa mbali ndugu mjumbe AntonniaKabisa mjomba katu usimnyime Hivo vitu na furaha kulea mimba 9 months na kuzaa sio mchezoo!!