Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Wewee Kapachino usimjaze maneno ya uongoo mbantu ujuee deraa linatenguaje udhu 😊😊😂!
Usiku wangu umeenda vizuri Sana.

Na hii picture ndio the best of the best Chino ambazo amewahi ziona ujue mnywani.

Haha Mimi hayo ndo huwa mambo yangu! # Bantu sikuhizi anatubania Sana; sema namuelewa hataki tetemeko la ardhi litokee
 
Usiku wangu umeenda vizuri Sana.

Na hii picture ndio the best of the best Chino ambazo amewahi ziona ujue mnywani.

Haha Mimi hayo ndo huwa mambo yangu! # Bantu sikuhizi anitubania Sana; sema namuelewa hataki tetemeko la ardhi litokee
Umeona eeehhh mapemaa!! Sio tetemeko tu na kimbungaaa Katrinaaa😂😂😂! Akitupia jf server zotree zinatetemaaaa hapana chezea Bantu Lady weeee!!
 
Back
Top Bottom