Selfika na JF: Snap it. Show it

Lunch wanakula wengi Bonasera, Tilapia, Mwanza hotel, Gold Crest, Hasfu food, Waghill ndogo.
Alfu jion hii wanatoka makazini kwanza kwenda kutuliza vichwa nyumbani.
Na tusio na kazi wala nyumbani tunaenda wapi hiyo jioni🀣🀣🀣🀣 pale Hasfu food huwa napaelewa sana ila naenda tu kama kuna jambo pale
 
Forever and always Kapachino juzi ulipotea ukapitwa na vitruuu vikareeee!!✌️✌️
dah! Leo nipo hapa.

Siunajua nimekuja handeni kuwaona wazee; Sasa nikamtembelea jamaa yangu mmoja ni mtu wa tunguri tunguri ndo akanipa deiwaka ya kuwa nawapaka watoto wa kike dawa; wakisha aguliwa huko; kazi yangu mimi nikuwapaka dawa mwili mzima.

Siunajua sisi majobless full kujichanganya hatubagui kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…