Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,565
- 235,355
Hatari sanaYeah ..napambana mdogo wangu .
Ahsante Sana[emoji7]
Huko mbele hata sijaona ineendeleaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huko mbele hata sijaona ineendeleaje
Yaani sasahivi nikiona kipande Cha J naangalia
Hao wengine akina nani sijui wanaopiga tu hela huwa hawanichekeshi kama J
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Anavyowapiga fix mademu zake
Anajua kuwapanga[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alinichekesha tu anavyomgombeza Naa Ile siku
Jana anamsingizia dada Ake eti huyo mwanamke dada ndio alisababisha yote,mi hata simjui[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Leo naisubiri zahanati ya kijiji nicheke mimi.
SanaAnajua kuwapanga
Ebu nitumie Pm nione.. jana sikuona a aunt π€£π€£π€£Hapana mnaiacha hivyohivyo. Mtu akiquote tu sitaweza kuifuta π π π π π π jamani naona aibu kuweka picha πββοΈπββοΈπ₯π₯πββοΈ
Morning mremboo[emoji177]Good morningView attachment 2558821
Shikamoo mtoto mzuriGood morningView attachment 2558821
Auntie JuniaGood morningView attachment 2558821
Nimepitwa aisee π€πMzee wa kupambania kiduku mpapaso na waliopitwa napita dakika 2 shwaa. Mkikosa tena ndio finito madonna πππππ msiquote sawa...
Asante mama juniqAuntie Junia
Unanikosha namna unavyovaa vizuri kwa heshima
Hapo tu ndipo ninapowapendea waislam wengi
Marhaba mkaka mzuriShikamoo mtoto mzuri
πMorning mremboo[emoji177]
Babu uko smart hongera
aunt nifanyie namna basi πππMzee wa kupambania kiduku mpapaso na waliopitwa napita dakika 2 shwaa. Mkikosa tena ndio finito madonna πππππ msiquote sawa...
Jioni Ankol wangu. Uwe mitaa hii nitarudia kwaajili yako Ankol usikomde kabisa in Antonnia voice πππaunt nifanyie namna basi πππ
Dah! Jioni nitakuwa safarini, nimeisha kosa hiyo πππJioni Ankol wangu. Uwe mitaa hii nitarudia kwaajili yako Ankol usikomde kabisa in Antonnia voice πππ
Saa ngapi utakuwa free Ankol?Dah! Jioni nitakuwa safarini, nimeisha kosa hiyo πππ