Mzee wa kupambania Sijui kaenda kuswampia wapi tena akikosa hii basii wee mzee wa kupambania mmeambiwa na mbantu One for the road hukuuuu๐ฃ๏ธ๐ฃ๏ธ๐ฃ๏ธ๐ฃ๏ธ๐ฃ๏ธ๐ฃ๏ธNinavyosubiri Sasa๐
Eti wifi yangu kipenzi ameniita
Mmeambiwa hapa ni wodi ya wazazi
Hapa ni hospital [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yaani Nimecheka.
Eti wewe unanitishia dawati,
Kwahiyo huko primary secondary nilikuwa nakalia nn pumbavu wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
kukopesheka๐๐๐๐คฃ๐คฃHaya mambo yangekuwa yanakopesheka ningeenda kukopa kwako Antonnia au @Bantu Lady nikae nanyi hata siku3
Hawa ndo wanasababishia watu kesiNimecheka sana eti auawaa
Ila Nembo ni snich [emoji23][emoji23] muda wote anataka pesaaa
Simu iliisha charge next time atawahi tena. Uko poa lakini mamii. Nimefurahia Yanga, hawajatuangusha kwa kweli.kukopesheka๐๐๐๐คฃ๐คฃ
Niko poa sana mamito hakika saii naenda rara vizureeee kabisa!! Yanga juuu๐๐Simu iliisha charge next time atawahi tena. Uko poa lakini mamii. Nimefurahia Yanga, hawajatuangusha kwa kweli.
Hawa ndo wanasababishia watu kesi
Mtu auwa mjamzito[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ntaangalia marudio hiki kipande
Eeh Mungu wangu!! Usingizi umepaa dakika sifuri tu!! Dooh hakika Mungu anajua kupendelea!!Haya usiku mwema Jamani..esp kwa wana Yanga wenzangu๐๐
View attachment 2558583
Kuna kiumbe huwa analala kabisa akiwa na wewe?? Asiee mpaka kunakucha ๐Haya usiku mwema Jamani..esp kwa wana Yanga wenzangu๐๐
View attachment 2558583
๐๐๐๐Kuna kiumbe huwa analala kabisa akiwa na wewe?? Asiee mpaka kunakucha ๐
Weeh!!sio kweli kwangu mie hapalaliki , weeh nilale uko pembeni ili nigundue nini usingizini ๐๐๐๐๐
Hustle kwanini asilale Jamani
๐๐๐๐๐Weeh!!sio kweli kwangu mie hapalaliki , weeh nilale uko pembeni ili nigundue nini usingizini ๐
Labda sijui!!, Ila kuna baadhi ya vitu huwa havinilazagi hata nijaribu , AKILI inaniambia acha ujinga amka kuna kesi uko nayo ๐๐๐๐๐๐
Nimecheka kwa sauti khaaa...utalala tu labda Kama huna usingizi
Dada una balaa
Yeah ..napambana mdogo wangu .Dada una balaa
Sasahivi umepungua kidogo ndio umekuwa[emoji91][emoji91][emoji91]
Tunaoumia ni sisi vimbaombao [emoji23]