Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu mama fundi sana

Anasema changamka mwanangu, tutakufa njaa , yaani nyota yako naiona kabisa ipo Kwa daktari [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Alinichekesha anamwambia kimbembe naona mwanangu sura yako ya uwaziri kabisa, ukikosa uwaziri basi ukuu mkoa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Anachekesha sana,anajua kuigiza sana ana misemo
Nilipaona pote hapo nilicheka sanaa
 
Mwenyekiti hii sijapenda kwa kweli 🤔 ,nikuishughulisha AKILI yangu kufanya imagination, fanya kama unasogeza kidogooo halafu kalelale!!
😂😂🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️🏃🏻‍♀️
 
Back
Top Bottom