Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,710
Ndiyo namtoa huko pangoni, alipojificha ๐ ๐ ๐ ๐Huyo kiumbe Hivi yupoo??? Kimya sana humu!
Ewaaa; maana na masika haya ya Dar;Tonniah hawezi ruhusu kaka mtu ateseke hivo asee!!! โบ๏ธ
Anapewa mambo matramuuuuu hadi kasahau selfika hapana chezea coca !Ndiyo namtoa huko pangoni, alipojificha ๐ ๐ ๐ ๐
Usijareee kabisa diaaaahhh!! Tonniah yuko hapa hakuna kinachoharibika!Ewaaa; maana na masika haya ya Dar;
Oga urelaxx mwili ukae sawa mjomba wangu mzuri!!Najua unaniwezea yani ๐๐ goja sasa nioge nikae mguu sawa, out yetu ianze
Ndrrriiioooo... nasubiria kwa hamu hapaa kusimuliwa hio ndoto mjomba!Si unajua ndoto zangu nakuota wewe tu ๐๐๐, badae nitakusimulia namna nilivyo kuota.. ndio kausingizi kameisha hapa
Mie huyooo asanteee sana aunt wangu ๐ค๐คOga urelaxx mwili ikae sawa mjomba wangu mzuri!!
Eendiwoooooooo wewe mjomba โบ๏ธ๐!!Mie hiyooo asanteee sana aunt wangu ๐ค๐ค
Goja mpira uishe twende mahala tulivu tumalizie weekend .. ili kesho tuanze fresh ๐๐Eendiwoooooooo wewe mjomba โบ๏ธ๐!!
Kabisa mjomba nipo kodoooo hapaaa ๐๐๐๐๐๐ณGoja mpira uishe twende mahala tulivu tumalizie weekend .. ili kesho tuanze fresh ๐๐
Leo chochote usemacho nakupa aunt wangu ๐๐๐ tumeisha anzisha mvua ya magori๐คธ๐คธ๐คธ๐คธ๐คธ๐คธ๐คธ๐คธ๐คธ๐คธ๐คธ๐คธ๐คธ๐คธ๐คธ๐คธ
Mechi inaisha na sie haoooo mahala na jezi zetu ๐๐Kabisa mjomba nipo kodoooo hapaaa ๐๐๐๐๐๐ณ
All the bests wananchiii!!
Umeona eeehhh!!! Tungeongeza lapili kabla ya halftime ingenouga sanaMechi inaisha na sie haoooo mahala na jezi zetu ๐๐
๐ ๐ goja tuvute subira wanaweza wakala hata tatu kipindi cha kwanzaUmeona eeehhh!!! Tungeongeza lapili kabla ya halftime ingenouga sana