Simu yenye picha imezima dear hainachaji nitkuita nikiselfika had iwepo nitapita nakedBado ww sijakuona
Antonnia tayari mamaa na mshepu wake wa hatari..
Na Bantu Lady ndo bado na yy
Mtubless basi
Usiwe sasa unatunyanyasaaa π πMie tena tayari nimekuona [emoji7]Santee sana
Jamani lol..hahahah π π πKunawatu wakimuangalia
Antonnia
Bantu Lady
Kalpana
Watatamani warudi tena sokoni kuangaliaupya[emoji23][emoji23] nyie wadada mmebarikiwa San[emoji7]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Antonnia Aaliyyah Bantu Lady na Kalpana mkituzamini pale BoT hatukosi mkopo wa maana [emoji28][emoji28][emoji28] alafu tunafungua bank
Hivi zumaridiMida ya kufanya kazii hii wigee!! Ebu fanya unibless kwanza kitrambo sana sijakuona msukuma!!
Kaanza manyanyaso tayari π π πJamani lol..hahahah π π π
Aweee...basi tufanye mchakato tule mapene..ππππAntonnia Aaliyyah Bantu Lady na Kalpana mkituzamini pale BoT hatukosi mkopo wa maana π π π alafu tunafungua bank
Wala msinyanyasike kila zama na wakati wake ambao bado watapata wa wakati wao..hahahahKaanza manyanyaso tayari π π π
Kunamtu anamuangalia mwajumawake WA buza anasema looh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani lol..hahahah [emoji38] [emoji38] [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi zumaridi
Anatuchukuliaje
Magorofa tuleefuu
Kama mnara
Anatuonaje huyu[emoji848][emoji1787]
Sent from my TECNO BD4h using JamiiForums mobile app
Hujakosea mjumbeSema nn wanasema lips hua zinaakisi mambo ya ndani ndani kabisa ndugu mjumbe
Hata wewe hujioni dear, nyani haoni nini vile .... π π π πKunawatu wakimuangalia
Antonnia
Bantu Lady
Kalpana
Watatamani warudi tena sokoni kuangaliaupya[emoji23][emoji23] nyie wadada mmebarikiwa San[emoji7]
Nyie bhana hmna ooh ni level nyingiΓ±eHata wewe hujioni dear, nyani haoni nini vile .... [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Kampikie msosi mzabzab Ndio uswampe sasa π π πJioni njema nawatakia
Big Four nyie πππHata wewe hujioni dear, nyani haoni nini vile .... π π π π
Mmh[emoji848]Thank you dear, leo mgonjwa na pole nawewe pia. Naona siku mbili hizi hatuko poa pamoja. Kama matwins [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]