Selfika na JF: Snap it. Show it

Muwe na mchana mwema wapendwa wacha nikale chaki kwanzaa! Mbarikiwe sana bandugu Tonniah loves youuuuu✌️✌️✌️😘😘😘😘😘!
Tayukwa
As long as zinakulipa zile tuuu ngoja majobless tukae tusubir ajira kama watatukumbuka mwaka wa fedha 23/24πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hivi naongea nini kwani mwaka wa fedha tayari auπŸ™„πŸ™„πŸ™„
 
Tivu siunajua usiku analinda ile pikipiki yake nahis ataeka saa nane, mi hua naangaliaga alfajiri nikimaliza ibada zangu
Huku selfika sijawahi ingia nimekaribia
Kulinda pikipiki yake hahaaa!!
Feel at selfika and Enjoy kipenzi!!!
Mwaka huu mama lazima atawakumbuka dear unajua mama ana huruma sana na watoto Mungu atie kheri!! Amin
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…