Wivu unamtesa anayeumiliki na mwenye wivu akizidisha anakuwa msaidizi wa kalumanzilaπ π kuna madogo humu wana mambo ya ki waki , naona mapendo kwa shangazi yalimchoma akajaa mzima mzima kunichana hapendi kama kupendana tuishie PM yaani anatupangia tena namna ya kuishi.. na mie nikamuambia mie sina akili aniache kwanza.. ndio nimetoka milembe π€£π€£π€£
Hata mimi jamani??? π€π€π€ Mie sinaga mbambambaa kabisa mdogo wangu wee taniaa kadri uwezavyoo wewe treinnaππ!πππMm sikuhiz naogopa hata kutania watu
Ahsante sebuleni kwako kuzuri hadi rahaUsijare Tuko sebuleni mkuuu wee kuja tyuuu!
Hahaha akili zangu za sikuhizi nazijua mwenyewe!Umekuwa msanii sikuhiz ππ
π π furaha ni kuchagua aunt.. ni bless ingine hapa nilale mie na mie leo nashinda chumbani kama aunt Bantu LadyπππMm sikuhiz naogopa hata kutania watu
Na mashangazi nao watuambie kama wanawajomba huku ili tujue tusije tukapigwa mawe huku[emoji28][emoji28] kuna madogo humu wana mambo ya ki waki , naona mapendo kwa shangazi yalimchoma akajaa mzima mzima kunichana hapendi kama kupendana tuishie PM yaani anatupangia tena namna ya kuishi.. na mie nikamuambia mie sina akili aniache kwanza.. ndio nimetoka milembe [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii yenyewe au editing
Enjoy mkuu maisha ndio hayahayaa!βοΈβοΈβοΈAhsante sebuleni kwako kuzuri hadi raha
Mzee sio poa
Mashangazi wapo smart kichwani hawana noma.. shida vutoto π€£π€£π€£Na mashangazi nao watuambie kama wanawajomba huku ili tujue tusije tukapigwa mawe huku
ππKwako sijali Wala nnHata mimi jamani??? π€π€π€ Mie sinaga mbambambaa kabisa mdogo wangu wee taniaa kadri uwezavyoo wewe treinnaππ!
Ukiyafanyia serious maisha yanakupinduaEnjoy mkuu maisha ndio hayahayaa!βοΈβοΈβοΈ
Na mashangazi nao watuambie kama wanawajomba huku ili tujue tusije tukapigwa mawe huku
Umeona eeehhh!? Afta all haya ni maisha ya mtandaoni tyuu tukitoka hapa kila mmoja anapambama kivyake tucheke tufurahi sieee no makasiriko hiaaaa!!ππKwako sijali Wala nn
Mimi napenda sana kucheka na utani nishachaguaga kufurahi
Michiri ya unonoMzee sio poa
Unakula mema ya nchi tu
Ndugu mjumbe si unaona kijana analalamika akiwatania kidogo vijana wanataka kurusha ngumiJf mie nishashindwaga kitrambo sana Ndugu mjumbe hili kila leo nalisema humu[emoji41]
Antonnia tupe Siri ya mafanikio!π π kuna madogo humu wana mambo ya ki waki , naona mapendo kwa shangazi yalimchoma akajaa mzima mzima kunichana hapendi kama kupendana tuishie PM yaani anatupangia tena namna ya kuishi.. na mie nikamuambia mie sina akili aniache kwanza.. ndio nimetoka milembe π€£π€£π€£