😅😅 japo wengine wanapata wivuuu hadi naitwa mwenyekiti wa wajinga .. mmoja alishindwa kuvumilia akanichana nikajua wivuuu 🤣🤣🤣 nahisi alikuwa hajui kuwa sinaga akili toka zamanii za zama

😅😅 kuna madogo humu wana mambo ya ki waki , naona mapendo kwa shangazi yalimchoma akajaa mzima mzima kunichana hapendi kama kupendana tuishie PM yaani anatupangia tena namna ya kuishi.. na mie nikamuambia mie sina akili aniache kwanza.. ndio nimetoka milembe 🤣🤣🤣