Nimefungua tu Jf naona title ya uzi na hii picha imedisplay kama icon ndio ikanishawishi niufungue uzi mzima.. Yani kuna mtu ukimuangalia afu ukamuangalia na demu wako basi unaishia kuimba "Tenda miujiza"
hahaha tatizo siku hizi watu wenye miaka mingi duniani ndio wanaongoza kwa kuongea shudu.( nafikiri ukubwa wa mtu uwe unapimwa kwa hekima na busara zake.